Diamond Platinumz is not just a musician, he’s an entrepreneur. With already an established record label with award winning artistes, he has ‘Chibu Perfume’ and, Dizim Online and wasafi.com all as businesses under his name. The newest product from the Tanzanian on the market is nothing but nuts. Yes, nuts! Chewing nuts going by the name ‘Diamond Karanga’! The singer launched the product, which goes for Ksh. 15.

USISEME KARANGA SEMA DIAMOND KARANGA!!!!…Habari njema kwa Vijana wenzangu wote, sasa unaweza kujipatia Mtonyo wa ChapChap kupitia @diamondkaranga ambapo utaweza kununua kwa bei ya jumla ya shilingi elfu ishirini (20,000) kwa boksi moja lenye pakiti Mia moja (100) ndani ambazo ukiuza unapata faida ya elfu kumi fanya mawasiliano sasa na mawakala walio karibu yako. Mawasiliano kwa Kununua Jumla:- MOMBASA +254700187727 DAR ES SALAAM -KINONDONI 0657748554 -ILALA 0655201244 -TEMEKE 0715174884 -ARUSHA 0754447715 -UBUNGO 0764657570 -TEGETA 0764657570 -WENGINE 0714993724 MOSHI 0654447715 MBEYA 0789082977 MBEYA 0784745949 MBEYA 0784227882 MOROGORO 0717487246 TANGA 0653587793 LINDI 0785294790 MTWARA 0784786070 ZANZIBAR 0655424005 PEMBA 0655424005 IRINGA 0657868047 MWANZA 0784790490 MWANZA 0766500639 DODOMA 0713471683 SONGEA 0717767021 NOGWE JIRAMBEEE!!! #NogewaJirambe

A post shared by Chibu Dangote (@diamondplatnumz) on

Am glad to inform you that i launched my new Product called @DiamondKaranga (Diamond Peanuts) which will be available in East Africa for 300/= Tanzanian Shilling retail Price and 20,000/= Wholesale Price ….. (Leo nimezindua Bidhaa yangu mpya iitwayo @Diamondkaranga ambayo itakuwa inapatikana Madukani kote Africa Mashariki nzima kwa shilingi miatatu tu (300/=) bei ya rejareja kwa pakiti moja… na shilingi elf ishirini (20,000) kwa boksi moja lenye pakiti Mia moja (100) ndani ambazo ukiuza unapata faida ya elf kumi… Karanga hizi nazinunua kwa wakulima kutoka mikoa ya DODOMA, MTWARA, TABORA n.k…. kisha kuziongezea njonjo na kuzipakia katika pakiti za kisasa, ili mtu mwenye hadhi yoyote aweze kutembea nazo popote atakapo… ) usiseme tena Karanga sema DIAMOND KARANGA!!!!

A post shared by Chibu Dangote (@diamondplatnumz) on