NAME: Antonio Stanely Raul (404)
ARTIST: Mistaken Identity
TRACK: Maswali za Polisi – The Mistaken Version
REPPIN: CornerBrook School – Juja (BROOKLYNN)

Mimi artiste, me huchora giza
Ata ukiuliza si hio ni miujiza?
Hebu skiza nikikuchoreshea giza
Ntauniza, pole, iza
Nina mazuri, si ubaya
Si nina chokoza ka Avril na Marya
Napenda kuwa mbaya, kutoanisha mawire
Una macho, mbona huoni hata haya?
Unadai umestill show na we sio mwizi?
Unajidai Jackie Chan na we ni Jackie Chizi
Kama ni njaa unahisi kula mandazi kiufisi
Una maswali mengi kwani we ni polisi?
We ni mumurram, we sio mlami
Mistake big F.I.S.I I get mali
Priceless ka jewels, huwezi afford io money
Mi ni msweet sana baby unaeza niita honey
Unaezaniita bunny, unaezaniita cunning, unaezasema funny
Kweli mi hukuwa mkali, kwako naeza kuwa chali, nikushibishe puunani!!
Hizo ndizo info
Na hapo hakuna intro!
I’m mistaken!