By Majirani, KenRazy, V-sita

[Intro]
mmh hehe
Kama kawaida tunajua siku zimeenda sana [hivo ndio zinaendanga]
kasoup na sembe ni kushiba mzee,
ni KenRazy , Majirani , V-sita… Grandpa kama kawa…

[Chorus]
Hivo Ndio Kunaendaga , Hivo Ndio Kunaendaga,
Hivo Ndio Kunaendaga , Hivo Ndio Kunaendaga,
aaaaaaaaaaaaaaaaaah, Hivo Ndio Kunaendaga,
aaaaaaaaaaaaaaaaaah, Hivo Ndio Kunaendaga,

[Verse 1: Majirani]
Je ushalala usiku jo ukaota umekufa,
kuamka asubuhi Gover imekusunda,
ukashtuka ukadai aki mbona,
lakini hapana jali , Hivo Ndio Kunaendaga,
ukanoki msupa juu anaendanga kanisa,
ukaharakisha kumuoa kumbe ni Merimela,
saa unapiga nduru juu ushapotezanga hela,
lakini hapana jali , Hivo Ndio Kunaendaga,
ulihepa sistangu ukadai amechapa,
kuhamia Nairobi ukaoa kahaba,
kuharibia kwanza alikuwanga wa Nyeri,
mwanaume unachapwa, Hivo Ndio Kunaendaga,
si dunda dunda, dunda dunda na yee,
Hivo Ndio Kunaendaga,
dunda dunda, dunda dunda na yee,
Hivo Ndio Kunaendaga,

[Chorus]
Hivo Ndio Kunaendaga , Hivo Ndio Kunaendaga,
Hivo Ndio Kunaendaga , Hivo Ndio Kunaendaga,
aaaaaaaaaaaaaaaaaah, Hivo Ndio Kunaendaga,
aaaaaaaaaaaaaaaaaah, Hivo Ndio Kunaendaga,

[Verse 2: KenRazy]
Mambo msupa – Hivo Ndio Unaanzanga,
and then machupa – Hizo zinamuezanga,
kabla ukute kitu ushableki ushalalaaaaaa – Hivo ndio unatuangushanga,
nafanya madem wacam Razy mi nikiendaga,
The Ti-Cha eeh, so vijana mukae rada,
acha na cham kumikumi hutaonanga,
hachoo fever , hii Sanaa hutaiManga,
[example] dem ocha umempatanga,
unadhani yee ni fala hatatanga tanga,
after masiku “madam” ukimuitanga,
“mscheeew” Hivo ndio anaitikanga,
na akiwa mbali hapigi simu ni ma-please call me,
eeeiih Hivo Ndio Wamezoeanga,
na nikitry kuhala back speedy speedy masaa,
aaaaiii, Hivo Ndio Credo ilikatikanga,…

[Chorus]
Hivo Ndio Kunaendaga , Hivo Ndio Kunaendaga,
Hivo Ndio Kunaendaga , Hivo Ndio Kunaendaga,
aaaaaaaaaaaaaaaaaah, Hivo Ndio Kunaendaga,
aaaaaaaaaaaaaaaaaah, Hivo Ndio Kunaendaga,

[Verse 3: V-sita]
Hihihahaha – Hivo ndio mi nachakanga,
Sita – Hivo Ndio wananiitanga,
ni kushiba mzee , Kitambi napapasanga,
kasoup na sembe hivo ndio mi nakunjanga,
vvvvvrrrra, wakati nilikuwa down,
kwanza huko town, walinishow madharau,
mafala hao, nili achana nao,
wakaenda zao, na hivo ndio waliendanga,
Ve-Vera Vera Vera Vera Vera Vera Sidikaa,
Wengi wamekusakanga,
si kwa ubaya ni vile bolingo zako zimetushika,
alafu hujazifichanga,
mwaah mwa mwa mwa rhaaa,
Hivo ndio wanaotanga,
nipite na yee , nipite na yee,
vroooom, na Hivo dndio tuliendanga,

[till fade]