The rise of Gengetone has once more shed light to the innovative words that keep on emerging within the sheng’ nation and we took time to highlight some of the hottest of those words on the streets right now!
Word: Kemba
Meaning: Drink
Sentence: Usiwahi chochwa ati makemba ni kitu fiti, life ni gwan
Word: Mboto
Meaning: Photo
Sentence: Dem anakaa fire kwa mboto lakini kwa grounds vitu ni different
Word: Mbota
Meaning: Watch
Sentence: Mwanaume lazima avae mbota ya maana, kidesigner ivi.
Word: Magova
Meaning: Police Officers
Sentence: Mi vile nilicheki magova wameingia chuo ivi nikajitoa
Word: Msoro
Meaning: Stalker
Sentence: Hata kama unataka uyo dem, usikuwe msoro
Word: Mkanya
Meaning: Mother
Sentence: Mkanya wangu alikuwa amefume mbaya vile aliskia nimefail
Word: Ng’oi
Meaning: Security Guard
Sentence: Mang’oi wa chuo a madem huwkuwa watiaji mbaya
Word: Loso
Meaning: Alone
Sentence: Tulikuwa rende lakini time vitu zilienda mbaya nilibaki loso
Word: Jichaka
Meaning: To leave
Sentence: Nilijichaka tu vile uyo mode alisema atachelewa kukam class
Word: impress
Meaning: A beautiful girl
Sentence: Dem ya denno ni ka impress mbaya
Word: Bandal
Meaning: Cash
Sentence: Canteen ya chuo ilivunjwa mabandal zote za hii term zikaenda