The ever evolving sheng’ culture in the country means you always have to keep up with the newest trends and what’s rocking on the streets. We have therefore compiled some of the hottest sheng’ words on the streets right now so that you don’t feel left out:
Word: Jisune
Meaning: Put oneself in
Sentence: Usijisune kwa ngori zenye hazikuhusu.
Word: Utothi
Meaning: Stupidity/foolishness
Sentence: Mawathii wa Pach hukuwa na utothi mob sana.
Word: Unenge
Meaning: Hunger
Sentence: Lesson za hapo 11 huwa hard kuconcentrate juu ya unenge jooh
Word: Sajah
Meaning: God
Sentence: Nashukuru Sajah kwa kunibless hii mwaka
Word: Surwa
Meaning: Keroma
Sentence: Keroma bila surwa haifai ugali.
Word: Fadhela
Meaning: Father/Dad
Sentence: Fadhela wangu anadai lazima ninyoe nywele
Word: Mangulula
Meaning: To eat
Sentence: Naishia ivo kumangulula kwa madhe
Word: Orioba
Meaning: Kariobangi
Sentence: Si huishia ivo Orioba kuguza PS na boyz wangu
Word: Oroso
Meaning: Cross-country
Sentence: Kuna vile siezi ishia oroso na hii weather
Word: Parasha
Meaning: Rumors
Sentence: Iyo story ya Johntez na Maggie kudate ilikuwa tu parasha
Word: Tyabe
Meaning: Tea
Sentence: Leo nilikosa tyabe morning juu nilichelewa kuingia DH
READ ALSO: WIZKID DROPS “MADE IN LAGOS” ALBUM
Word: Alaji
Meaning: Rich person
Sentence: Buda ya denno anakuwaga alaji juu ya izo madeal za gava
Word: Rende
Meaning: Crew/Clique
Sentence: Rende ya 3K huwa wazii
Word: Kamudhe
Meaning: Come
Sentence: Madem wa Choxx walikamudhe chuo yetu benchmarking