Word : Jicho nyanya
Meaning: red eyed
Use in a sentence: Mose huwa jicho nyanya kila iku manze ni kama anatumia madawa
Word: Mtu nguyaz
Meaning: Friend
Use in a sentence: Jemo ni mtu nguyas sana alinipea credo jana nikiwa chini.
Word: Yutman
Meaning: Teenager
Use in a sentence: Ma yutman wengi wanaingilia wizi na wanauliwa na makarau sana
Word: Jamo
Meaning: one
Use in a sentence: Jonte alipigwa bare Jamo jana na matha yake juu ya kupoteza pesa ya fee.
Word :Mbexe
Meaning: two
Use in a sentence: Mimi hukula mayai mbexe asubuhi na chai.
Word: Kinde
Meaning: ten
Use in a sentence: Matatu huwa kinde kutoka Kayole mpaka Umoja masaa ya mchana
Word: Omba
Meaning: twenty
Use in a sentence: Credo ya omba siku hizi hata haisaidiangi kupiga simu sana
Word: Maweng’
Meaning: Cash
Use in a sentence: Kenya wametoa maweng’ mpya manze na kurusha nje hizi mzee.
Word: Muyoo
Meaning: Kayole
Use in a sentence: Muyoo manze imetoa wasanii wengi.
READ ALSO: ANTHONY DAVIS JOINS LEBRON AT LAKERS
Word: Rongoka
Meaning: Beat up someone badly
Use in a sentence: Wezi waliibia mzee Kobe jana walirongokwa mbaya sana
Word: Kunyambishwa
Meaning: Fire bullets
Use in a sentence: Makarau waliamua kunyambisha jana pale base vile wasee walianza kustrike juu ya mathree kulipisha fare mob
Word: Kugunash
Meaning: Mess up
Use in a sentence: Jana niligunash job nilikuwa nadoo ilibidi nimerudia na hata sijamaliza mpaka saa hii.