The Internet has been going ablaze with creative and funny memes termed as the “UNAKUFA” memes. The Iqrew team takes a moment to highlight some of the funniest of these memes.
- Unakula KDF inakupiga war UNAKUFA.
- Unadate mkale anarun away with your heart UNAKUFA.
- Unaview status za ‘unakufa‘ unacheka sana unashikwa na muscle contraction za shingo UNAKUFA.
- Unakosa kuniitia form unalewa unaanguka kwa sewage UNAKUFA.
- Unapigwa tear gas hapa Nairobi, unafaint unapelekwa KNH unaekewa kidney ya punda unarusha rusha mateke ovyo ovyo kwa streets unapiga billboard ya infinix unalipukiwa UNAKUFA.
- Unakataa nikushike unashikwa na homa UNAKUFA.
- Unajiona beast unavybe dem wa Strath/USIU, Kizungu inakunyonga UNAKUFA.
- Nakutext unalenga text yangu alafu simu inazima unaeka kwa charger inalipuka UNAKUFA.
- Unaspank dem mkamba anatoa vumbi unapata TB UNAKUFA.
- Unasmash dem na doggy style unapata rabies UNAKUFA.
- Mnanyanduana missionary mnashikwa na kanisa mnasulubiwa MNAKUFA.
- Unangangania dem mnono akusugue anategwa anakuangukia UNAKUFA.
- Unakataa kurombosea boy kwa club unakaa chini kiti inavunjika unaangukiwa na mzinga UNAKUFA.
- Unajaribu Kupiga story story inakupiga UNAKUFA.
- Unaenda sherehe ya kukata na shoka unakatwa na shoka UNAKUFA.
- Dem yako akona sauti ya kutoa nyoka pangoni anaimba nyoka inatoka pangoni inakuuma UNAKUFA.
- Dem anajifanya anajua kurombosa anashake kiuno sana ananyamba ANAKUFA.
- Unajifanya unajua kurap unatafuna ulimi unanyongwa UNAKUFA.
- unakataa kukunywa pombe kwa bash, unarudi nyumbani unakunywa uji moto inakuchoma intestines UNAKUFA.
- unakataa kusomea CAT paper inafika inakushinda unaanza kukula pen unaimeza UNAKUFA.
READ ALSO: NEW BEEF ALERT! NYASHINSKI DISSES WILLY PAUL OUTRIGHTLY!