H_Art-the-bandVerse 1:
Well You See Love, Makes You Do Crazy Things,
Ask My Shoes, Uliza kiatu,
And What I Went Through To Buy You Those Rings,
Ask My Shoes, Uliza Kiatu,
Masaibu, Ninayoyapitia, Kukupeleka Dinner,
Uliza Kiatu,
Na Gatheri, Ninavyokatafuna, Eti Ndio Ukule Burger, Pizza
Uliza Kiatu…

Chorus:
Ask My Shoes, Ask My Shoes,
Uliza Kiatu, Uliza Kiatu,

Verse 2:
Nimekopa Nikupe, Kumbe We Ndio Kupe,
Nangangana Ndio Tule, Juhudi Zangu Bure,
I Heard That Love Should Always Make Us Strong,
But Now I Feel I Think That They Were Wrong, Ask Me Why…
Nasema Taxi Nilipe, Rent Mi Nikupe,
Nywele Zisongwe, Mombasa Si Twende,
Mapenzi Nikupe, Mpaka We Uridhike,
Nasema Taxi Nilipe, Rent Mi Nikupe,
Nywele Zisongwe, Mombasa Si Twende,
Mapenzi Nikupe, Mpaka We Uridhike,

Chorus(x2)

Verse 3:
Nilimuonyesha Mapenzi Akanionyesha Mfuko,
Alisema Doe Ya Salon Ni Thao Tu,
Na Kwa Mfuko Nilikuwa Na Mbao Ju,
Alisema Anaenda PE,
Akirudi Nilimpata Akimeza P2
So Niko Stuck Kati Kati Kama Stick Ya Mshikaki,
Nampenda Huyu Mshikaji But,
Kiatu Tu Ndio Inajua Story,
Yaani Vile, Mi Humchocha Nimemflash Bahati Mbaya,
Juu Niko Na Deni Ya Bob Collymore,
Yaani Vile Mi Hukanyaga Matope Kabla Nifike Kwa Lami,
Na Ile Stress Mi Hupitia Kabla Nimbongeshe Ki Lami,
Yani Vile, Mi Humpandisha Taxi, Then Naenda Kudandia Gari Ya Moshi,
Yani Vile Mi Humhustlia Hadi Kiatu Yangu Inaanza Kutoa Moshi,
Yani Vile Mi Humuita Baby,
Juu Najua Nikimuita Njeri, Hiyo “R” Inaezageuka “L” Na Hiyo Moment Naeza Kua Nimeispoil,
Yaani Vile, Nimtarmac Hadi Tumbo Yangu Inaezageuka Sanadak
Yaani Vile, Yaani Kaa Nikuokopa Nimekopa,
Yaani Kaa Nikuokoka Nimeokoka,
Yaani Kaa Ni Tisa Nimepigana,
Ndio Niridhishe Hiyo Figure Yake Number Nane,
Na Hata Usiku Nipate Amenichorea Nane, Toa Moja,
Vile Nimesag Mpaka Toja,
Nikamdanganya Eti Mi Naishingi Umoja,
Nikamuonyesha Mpaka Mi Si Mwana Vi-O-JA,
Ati Na Work Mahakamani Kusolve Vitimbi Za Dunia,
Bila Shaka, Mashtaka, Yaani Vile Hata Leo Dunia Ikisimama Tutasimama Pamoja,
Yaani Vile, Kaa Mapenzi Ni Nywele Basi Nimemsetia Nati,
Yaani Vile Kaa Mapenzi Ni Kikohozi, Basi Bila Shaka Niko Na T.B,
Niko Na Fever Juu Ananiumiza,
Yaani Vile, Kaa Mapenzi Ni Mistari, Basi Nimemwandikia Sentensi,
Matenzi, Mpenzi, Nakuenzi, Vishenzi, Niko Chizi, Crazy,
Mwizi Wa Mapenzi, Nifunge, I’m Guilty, Kiatu Itatestify,

CHORUS: