Oya oya oya! Acha tuwapeleke na rieng’! These are the baddest sheng’ words in town right now!

Word: Mbwaya

Meaning: Legit

Sentence: Hio deal ni mbwaya, ichukue.

Word: Mutaratara

Meaning: Form

Sentence: Manze, mutaratara ya Buju Banton ni gani?

Word: Njege

Meaning: Police

Sentence: Brayo alivurugwa na njege mpaka akang’olewa meno.

Word: Wathegere

Meaning: Smell bad

Sentence: Jana tukiwa base, tulisosi samaki yenye ilikuwa inathegera.

Word: Mbokamboka

Meaning: Relaxing

Sentence: Tukikosa form weekend, sisi huenda kumbokamboka pale zabe tukichapa risto.

Word: Karufuu

Meaning: Alcohol

Sentence: Karufuu itakuleta mbio kama hujazoea. Mayut tusifuate iyo form.

Word: Champe

Meaning: Friend

Sentence: Champe wangu ni mtoi wa CEO buda usinichezee.

Word: Mokiha

Meaning: Smartphone

Sentence: Mligongwa mokiha hapo Githu maze, kufika hao ni mkebe.

Word: Mushogi

Meaning: Matatu

Sentence: Mushogi za 1960 ziko on fleek kuliko K South

Word: Mboka

Meaning: Town

Sentence: Jam ya kuingia mboka leo ilikuwa massive kuliko kawa.

Word: Kigonyi

Meaning: Matatu Driver

Sentence: Nilipanda gendi yenye kigonyi alikuwa high.

Word: Tonje

Meaning: Laptop

Sentence: Maisha sai bila tonje na net ina suck videadly, siezi tumia tenje kila mara.

Word: Ikombe

Meaning: ATM

Sentence: Wacha niingie hapa kwa ikombe nitoe kitu.

READ ALSO: THE PHOBIA THAT IS VALENTINES

Word: Kemba

Meaning: Analyze

Sentence: Nilikemba notes before kukalia teo.